iqna

IQNA

ayman zawahiri
Ugaidi
TEHRAN (IQNA)- Mauaji ya Ayman al Zawahiri, kinara wa mtandao wa kigaidi wa al Qaeda katika operesheni ya droni iliyofanywa na wanajeshi wa Marekani, yamepokewa kwa hisia tofauti ya duru za kisiasa za nchi hiyo.
Habari ID: 3475567    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/02